Alopecia, kama linavyojulikana kwa lugha ya Kiingereza ni tatizo la kung'oka au kunyoyoka nywele na linakadiriwa kuwaathiri watu milioni 160 duniani kote. Lakini kwa hali ya kawaida, ungelishirikisha ...
Kiongozi wa kundi la Hezbollah, Naim Qassem, amesema leo kuwa hana pingamizi lolote kukutana na uongozi wa Syria. Hii ni mara ya kwanza kueleza hadharani msimamo huo. Katika taarifa yake kupitia ...